Taarifa kwa wanasuaso

Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia wizara ya Mikopo, inapenda kuwataarifu wanasuasa kuwa zoezi laKusaini pesa za chakula na malazl robo ya 3 (boom quarter 3)) litaanza rasmi tarehe29.5.2020 slku ya ijumaampaka tarehe31.5.2020 siku ya jumapili宽子Saa 3 asubuhi mpaka Saa 11 jioni。Hatua hii ni kufuatia agizo la serikali la kufungullwa kwa taasisi za elimu ya juu iflkapo tarehe 1,Juni 2020。Zoezi la kusaini(手动和指纹)litafanyikia多功能厅(kampasi kuu)na自由广场(马津布坎帕西)
Aidha, Zoezi hili litaendelea kwa siku saba baada ya chuo kufunguliwa。
NB: - Wanufaika wote mnakumbushwa kuzingatia maagizo ya serikali katika kupambana na maambukizi ya virusi vya Corana(COVID-19),wakati wote wa zoezi la kusaini。
Imetolewa na;
Aroni Rugemarira
Waziri wa Mikopo, SUASO - 2019/20

相关的帖子

Baidu
map